KITABU CHA MAFUNDISHO
Enzi ya Utakaso, enzi kubwa baada ya nyakati: Mungu ndani mwetu na sisi ndani ya Mungu
von Gabriele
- Einband
- Kartoniert
- Seiten
- 86
- Erschienen
- März 2023
- Verlag
- Gabriele Publishing House
Buchbeschreibung
Katika nyakati hizi za misukosuko, mnapitika mambo mengi ambayo hatuna uwezo wa kuimudu.
Lakini kila mmoja ana uwezo wa kuingoza "maisha yake ya kiroho", akitaka. Ndiyo maana Gabriele, nabii na mjumbe wa Mungu kwa wakati wetu huu, anotoa kitabuni humu maelekezo kwa ajili ya kuingia katika Enzi Mpya, kwa kumsaidia kila mmoja kuitolea maisha yake mwelekeo mpya. Anatuonyesha njia inayotufikisha kwenye uhuru wa kiroho, kwenye Amani, pia kwenye mawasiliano halisi na majirani, wanyama na mazingira.
Ganze Beschreibung lesenWeniger anzeigen
Kwa hiyo tunaishi tukiwa na dhamiri kwamba Mungu, Roho huru, yupo karibu sana na kila mmoja wetu: Mungu ndani mwetu na sisi ndani ya Mungu. Madondoo : "Kila mmoja wetu anajenga mwenyewe, siku baada ya siku, utu wake. Hayo yana maana kwamba kila siku, kupitia mwenendo wetu, tunajenga mwili wetu kwa kuuongezea nguvu, au kwa kuupunguzia kiwango cha nguvu, na hayo tu kutokana na namna yetu ya kuishi inayojionyesha katika mienendo yetu."
Details
- Erscheinungstermin
- März 2023
- Kategorie
- Fremdsprachige Bücher
- Einband
- Kartoniert
- Seiten
- 86
- Verlag
- Gabriele Publishing House
- Format
- 17,8 × 12,7 cm
- Dicke
- 0,5 cm
- Gewicht
- 90 g
- EAN / ISBN-13
- 9783964464033
Versand und Rückgabe
Standardversand: 1 bis 3 Werktage, 3,99 €, kostenlos ab 35 €
Liefergebiet: Deutschland
Rücksendung: 14 Tage Widerrufsrecht. Bei einem Widerruf tragen Sie die Kosten der Rücksendung. Bei einer Falschlieferung oder einem Fehler von uns erstatten wir Ihnen das Rückporto. Den Widerruf erklären Sie über den Knopf „Vertrag widerrufen“ im Fuß der Seite.
Hersteller und ProduktsicherheitGabriele Publishing House
Verantwortliche Person in der EU
Libri GmbHEuropaallee 1
36244 Bad Hersfeld
Deutschland
gpsr@libri.de
Mehr von Gabriele
Bewertungen
Zu diesem Titel gibt es noch keine Bewertung. Bewerten kann, wer ihn bei uns gekauft hat.





