Buch-OWLOnline-Buchhandel

Yesu wa Nazareti alikuwa nani?

Utoto na ujana wake

von Gabriele

Einband
Kartoniert
Seiten
52
Erschienen
Oktober 2021
Verlag
Gabriele Publishing House

Buchbeschreibung

Katika kitabu hiki, wafuasi wa Mnazareti wanahadithia historia halisi ya maisha ya Yesu wa Nazareti, inayojitenga kabisa na ufafanuzi wa tabaka la makasisi na ufafanuzi potovu wa wataalamu wa historia wanaoendelea kuandika, wanaotumikia kanisa au waliyoombwa na kanisa waandike vitabu kuhusu mada hiyo.

Ganze Beschreibung lesenWeniger anzeigen

Kitabuni humo mmeandikwa sehemu mbali mbali za ufunuo wa Kristo wa Mungu uliotolewa kupitia Gabriele, nabii wake, ambamo Peke yake Anatoa maelezoa kuhusu maisha yake duniani kama Yesu wa Nazareti.

Sehemu: Wakati nilifikia umri wakuinukia, na nafsi yangu ilipotoka utotoni hadi ujana, Mungu akajifunua kupitia maono mengine (…) Kwa namna hiyo, nafsi yangu ikafunzwa upendo na rehema. Tayari ndani mwangu, mimi bado mtoto, mlikuwemo nguvu za kiroho ila kila mara nilikuwa nikizitumia vibaya. Mimi Yesu pia nilifunzwa kupitia makosa hayo.

Sheria inasema: watu wote na nafsi zote zitaongozwa kupitia makosa na mapungufu yao hadi muda watakapoyatambua na kujirekebisha wao wenyewe.

Details

Erscheinungstermin
Oktober 2021
Kategorie
Fremdsprachige Bücher
Einband
Kartoniert
Seiten
52
Verlag
Gabriele Publishing House
Format
17,8 × 12,7 cm
Dicke
0,3 cm
Gewicht
60 g
EAN / ISBN-13
9783964462268
Maßstabsgetreu: Deckel und Buchrücken neben einer Hand (18 cm).
Versand und Rückgabe

Standardversand: 1 bis 3 Werktage, 3,99 €, kostenlos ab 35 €

Liefergebiet: Deutschland

Rücksendung: 14 Tage Widerrufsrecht. Bei einem Widerruf tragen Sie die Kosten der Rücksendung. Bei einer Falschlieferung oder einem Fehler von uns erstatten wir Ihnen das Rückporto. Den Widerruf erklären Sie über den Knopf „Vertrag widerrufen“ im Fuß der Seite.

Hersteller und ProduktsicherheitGabriele Publishing House
Gabriele Publishing House

Verantwortliche Person in der EU

Libri GmbH
Europaallee 1
36244 Bad Hersfeld
Deutschland
gpsr@libri.de

Mehr von Gabriele

Bewertungen

Zu diesem Titel gibt es noch keine Bewertung. Bewerten kann, wer ihn bei uns gekauft hat.

So prüfen wir Bewertungen
Eine Bewertung kann bei uns nur abgeben, wer den Titel über sein Kundenkonto bei uns gekauft hat. Jede Bewertung ist fest mit der zugehörigen Bestellung verknüpft; anders kommt sie technisch gar nicht zustande. Deshalb trägt jede angezeigte Bewertung den Hinweis „Verifizierter Kauf". Wir zeigen positive wie negative Bewertungen und löschen nur bei Rechtsverstößen. Für Bewertungen gibt es keine Gegenleistung.
9,60 €Voraussichtlich 3. bis 7. Dez.

Inhalte ab 18

Cover von Titeln für Erwachsene, etwa erotische Romane, Manga oder Comics, bleiben unscharf, bis Sie bestätigen. Die Bestätigung gilt für alle Seiten und Tabs, bis Sie den Browser schließen.

Zurück zum Katalog